Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | (a) Kubaini makundi ya viumbe hai. | |||||
--Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(b) Kueleza namna mmea unavyo jitengenezea chakula chake (usanishaji chakula). | |||||
--Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(c) Kufafanua dhana ya uzazi katika wanyama na mimea. | |||||
--Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(d) Kueleza kutegemeana kwa vitu na viumbe hai katika mazingira. | |||||
--Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(e) Kufafanua dhana ya kujirekebisha kwa viumbe hai kulingana na mazingira. | |||||
Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | (a) Kufanya vitendo vya kuonesha matumizi ya lenzi mbonyeo na lenzi mbinuko |