Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana kuwas katika mazingira tofauti. | i) Kuhesabu hadi 999999 kwa mfuatano. ii) Kusoma namba hadi 999999. iii) Kuandika namba kwa tarakimu hadi 999999. iv) Kuandika namba kwa maneno hadi 999999. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana kuwas katika mazingira tofauti. | --v) Kubaini thamani ya tarakimu katika namba (mamoja, makumi, mamia, maelfu, makumi elfu na mamia elfu). | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana kuwas katika mazingira tofauti. | --vi) Kulinganisha sehemu. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana kuwas katika mazingira tofauti. | --vii)Kubaini aina za sehemu. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana kuwas katika mazingira tofauti. | --viii) Kusoma desimali hadi nafasi mbili. ix) Kuandika desimali hadi nafasi mbili. | |||||
Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku. | b) Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku. | i) Kuorodhesha aina za namba ii) Kutaja namba shufwa. |