Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | a) Kutega na kutegua vitendawili na kuvihusianisha na vitu vilivyopo katika mazingira kwa usahihi | |||||
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | b) Kutamba ngonjera kwa kuzingatia kanuni za utambaji | |||||
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | c) Kutumia nahau katika habari fupi na kuelezea maana zake | |||||
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | d) Kutafsiri taswira inayoakisiwa na nahau | |||||
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | e) Kutunga sentensi kwa kutumia kauli halisi | |||||
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | f) Kutunga sentensi kwa kutumia kauli taarifa |