Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. Kuheshimu jamii | 1.1Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a) Kutenda matendo yenye kuonyesha upendo kwa watu wenye mahitaji maalumu b) Kutenda matendo yenye kuheshimu jinsi | |||||
--1. Kuheshimu jamii | --1.1Kujipenda na kuwapenda watu wengine | --c) Kuvaa mavazi yenye staha katika miktadha mbalimbali | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | a) Kufafanua sifa nzuri na mbaya zinazoitambuli- sha shule yake kwa hisia | |||||
--1. Kuheshimu jamii | --1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --b)Kuchora nembo ya shule yake c) Kufanya shughuli za kujitolea shuleni | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1.3 Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu mbalimbali za nchi | a) Kufafanua mila na desturi za Kitanzania b) Kutenda matendo yanayodumisha utamaduni wa Taifa | |||||
--1. Kuheshimu jamii | --1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --c)Kufafanua matumizi ya alama za Taifa |