Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | (a) Kubaini mazingira salama kwa viumbe hai. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(b) Kubaini vitendo vinavyo hatarisha usalama wa mazingira. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(c) Kuonyesha tabia ya kudumisha usafi na usalama wa hewa | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(d) Kufanya vitendo vya kudhihirisha umuhimu wa mahitaji ya viumbe hai. | |||||
. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake. | (a) Kubaini vyanzo vya nishati ya umeme. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake. | --(b) Kufanya vitendo kubaini vitu vinavyoruhusu mwanga. |