Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoj a. | Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. | i) Kuhesabu hadi 99999 kwa mfuatano. ii) Kusoma namba hadi 99999. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoj a. | --Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. | --iii) Kuandika namba Kwa tarakimu hadi 99999. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoj a. | --Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. | --iv)Kuandika namba kwa maneno hadi 99999. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoj a. | --Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. | --v) Kubaini thamani ya tarakimu katika namba. vi) Kusoma namba za kirumi I-L. | |||||
--Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoj a. | --Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. | vi) Kusoma namba za kirumi I-L. | |||||
Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku. | Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku. | i) Kubaini mfululizo wa namba unaoongezeka au kupungua |