Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | a) Kutoa neno moja lililobeba maana ya jumla badala ya kifungu cha maneno (kuku, njiwa, kunguru ndege). b) Kutega na kutegua vitendawili vinavyoakisiwa na picha. | |||||
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | c) Kufafanua ujumbe ulio kwenye methali zilizotolewa. d) Kueleza maana iliyo kwenye nahau zilizo orodheshwa. | |||||
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --e) Kulinganisha vitu kwa kuzingatia ukubwa na udogo kwa kutumia muundo wa | |||||
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --f) Kutambua rangi za vitu mbalimbali g) Kuelezea watu kwa kuzingatia shughuli zao. | |||||
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --h) Kueleza matukio kwa kutumia nyakati mbalimbali katika sentensi. - Uliopo - uliopita - mazoea - mtimilifu | |||||
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --i) Kukanusha matukio ya nyakati mbalimbali kwa kutumia sentensi . |