Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a)Kubainisha vitendo visivyofaa kumtendea mtu yeyote | |||||
--Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | --b) Kutenda shughuli mbalimbali kwa kuzingatia mwongozo anaopewa na walimu, wazazi/ walezi c)Kubainisha matendo yanayoonyesha upendo kwa familia yake | |||||
--Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | --d)Kubaini matendo yanayojitokeza katika jamii ambayo yanahatarisha usalama wake | |||||
Kuheshimu jamii | 1.2 Kuipenda na kujivunia shule yake | a)Kutambua muundo wa uongozi katika shule yake b)Kuzingatia sheria na kanuni za shule yake | |||||
--Kuheshimu jamii | --1.2 Kuipenda na kujivunia shule yake | --c)Kushiriki katika shughuli zenye kuiletea sifa shule yake | |||||
1.Kuheshimu jamii | 1.3 Kuipe nda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake | a)Kuchora alama za Taifa b) Kuthamini alama za Taifa c)Kubainisha dhana ya demokrasia |