Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | (a) Kubaini viumbe hai na visivyo hai vilivyomo kwenye mazingira. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(b) Kueleza namna ya kuchukua tahadhari za kujikinga na viumbe au wenye sumu. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu vilivyomo katika mazingira. | --(c) Kueleza namna ya kuthamini . viumbe hat na visivyo hai katika mazingira | |||||

. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake. | (a) Kueleza dhana ya nishati. | |||||
--. Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia. | -- 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake. | --b) Kufanya vitendo kuhusu sauti, joto, na mwanga unavyosafiri. |