Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | a) Kutamka sauti za maneno yanayoundwa
na silabi kadhaa katika chati ya maneno.
| | | | | |
--Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | --b) Kutamka
sauti za herufi mwambatano
gh, py, nz, ky na herufi nyingine zenye muundo huo katika sentensi.
| | | | | |
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | c) Kutamka
sauti za herufi mwambatano 1w, pw, sw, tw na nyingine
zenye muundo huo katika sentensi.
| | | | | |
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | Kutamka
sauti za herufi mwambatano 1w, pw, sw, tw na nyingine
zenye muundo huo katika sentensi.
| | | | | |
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.2 Kutumia matamshi sahihi
katika msamiati mbalimbali.
| a) Kutamka matamshi sahihi ya maneno yenye herufi -s- na `th-
| | | | | |
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | Kutumia matamshi sahihi
katika msamiati mbalimbali.
| b) Kutamka matamshi sahihi ya maneno yenye
herufi -z- na ,dh,. | | | | | |