Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a) Kutenda matendo ya kuheshimu watu wote b) Kutenda matendo ya kujipenda | |||||
--1.Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | --c)Kutenda matendo yenye kuonyesha upendo kwa watu wote d)Kutambua kipaji alichonacho na kukiendeleza | |||||
Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | a) Kufahamu shule yake | |||||
Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --b) Kutunza mazingira ya shule yake | |||||
Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | c)Kuiletea sifa shule yake | |||||
kuheshimu jamii | 1.3 Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake | a) Kutambua alama za Taifa b) Kutambua tunu za Taifa la Tanzania c)Kutambua asili ya nchi ya Tanzania |